Kuwasili na kuondoka
Arrival & Departure
Check in time 14:00 p.m.
Check out time 11:00 a.m.
Night arrival after 24:00 p.m., must be booked as for the day before to avoid long waiting hours in case the hotel is full house.

Usafiri wa kutoka uwanja wa ndege hadi hotelini unaweza kutayarishwa.
Gharama kwa kila safari watu wawili ni dola za kimarekani 25.
Watu 3 paka 5 dola za kimarekani 50

Sera ya kusitisha ushikaji wa nafasi ya chumba

Ushikaji wa nafasi ya chumba utakaositishwa ndani ya muda wa saa 48 kabla ya kuingia utatozwa gharama kamili ya malipo.

Mahali ilipo Hoteli: Dar es Salaam


Mediterraneo Hotel and Restaurant  ipo umbali wa kilomita 25 kutoka uwanja wa ndege, na kilomita 10 kutoka katikati ya jiji, unaicha Kawe Road karibu na iliyokuwa Euro pub.

Viwango vya Hoteli

Mahali ilipo Hoteli: Dar es Salaam

Kuwasili na kuondoka

MEDITERRANEO
Hotel & Restaurant - Dar Es Salaam - Tanzania
|
dar es salaam hotel,  mediterraneo hotel  restaurant la veranda
dar es salaam hotel,  mediterraneo hotel  restaurant stanza
Viwango vya Hoteli

Chumba

Dola za kimarekani 1
50 kwa siku kwa watu wawili

Dola za kimarekani   120 kwa siku kwa mtu mmoja


Mtu mzima wa ziada atatozwa dola za kimarekani 70

Watoto: mwaka 1 hadi   2, bure

Watoto: miaka   2 hadi 12, dola za kimarekani 35

Bei zote ni pamoja na chai ya asubuhi ya nguvu

Viwango vya bei za vyumba vinaweza kulipwa kwa

DOLA ZA KIMAREKANI/SHILINGI ZA KITANZANIA/EURO

Tunapokea Master & Visa credit card tu, 
hatupokei Traveller cheques.
| Home | Vyumba | Mkahawa | Lounge | Picha | Viwango | Bookings |
| Blog | MediterraneoTanzania |
Dar Es Salaam Hotel. Mediterraneo Hotel & Restaurant. Tel: + 255 754 812567, Mobile: + 255 777 812569, Copyright Mediterraneo Tanzania. Sitemap