Vyumba.
li kuangalia albamu ya picha za vyumbani, bofya hapa
hoteli za Dar es Salaam.
MEDITERRANEO
Hotel & Restaurant - Dar Es Salaam - Tanzania
|
Vyumba
Vyumba vilivyojengwa kwa mtindo wa nyumba ya mapumziko yenye ghorofa moja vina sakafu yenye vigae vya Mediterania, sehemu ya juu ya kaunta iliyojengwa kwa kutumia mbao ngumu, vitanda vikubwa maridhawa na bafu la ndani. Malazi yanakupa ubora wa faragha, mandhari ya kuvutia na varanda kubwa. Tangu utakapowasili, utafurafia mandhari ya kipekee yatakayokudhihirishia viwango vipya kwa hoteli za Dar es Salaam.
Dar Es Salaam Hotels. Mediterraneo Hotel & Restaurant. Tel: + 255 222 618359, Mobile: + 255 754 812567,Copyright Mediterraneo Tanzania. Sitemap