Mediterraneo lounge Dar es Salaam
muziki bora zaidi jijini Dar es Salaam.
Ukumbi wa kupumzikia
Ukumbi wa kupumzikia
Mediterraneo Lounge ina mkusanyiko mkubwa wa muziki kwa ajili ya kukuburudisha na aina mbali mbali za mvinyo ambazo utapata chapa ya mvinyo kutoka Italia, Afrika kusini na nchi zingine nyingi. Karibu uburudike Mediterraneo Lounge Dar Es Salaam, mahali utakapofurahia mandhari ya kuvutia ya Bahari ya Hindi wakati ukipata kinywaji chako ukipendacho huku ukisikiliza muziki bora zaidi jijini Dar es Salaam.
MEDITERRANEO
Hotel & Restaurant - Dar Es Salaam - Tanzania
|
Dar Es Salaam Hotels. Mediterraneo Hotel & Restaurant. Tel: + 255 222 618359, Mobile: + 255 754 812567,Copyright Mediterraneo Tanzania. Sitemap