Tanzania Hotels. Dar es Salaam Hotels. Mediterraneo Hotel & Restaurant logo.

mkahawa

Dar Es Salaam hotel mkahawa.

Restaurant Awards

mediterraneo hotel mkahawa.

MEDITERRANEO
Hotel & Restaurant - Dar Es Salaam - Tanzania
Mkahawa

Tunasubiri kwa hamu ili tukukaribishe katika mkahawa wetu wa wazi unaopendwa jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Ni mahali panapofaa kwa ajili ya kufurahia chakula cha mchana katika hali ya mapumziko. Hebu fikiria kukaa katika makahawa wa wazi ukiwa unaingalia Bahari ya Hindi kwa karibu kwa upande mmoja, na bustani zenye mwanga wa mishumaa kwa upande wa pili, wakati ukifurahia chaguo la vyakula mbalimbali vya Kitaliani/mediterania, ikiwemo pizza iliyopikwa katika oveni kwa kutumia kuni, ugali uliyopikwa kinyumbani na vyakula mbalimbali vya baharini, vyenye ubora zaidi jijini Dar es Salaam. Pia tunatayarisha vyakula vya kujihudumia na huduma za nje za vyakula na vinywaji kwa ajili ya aina zote za tafrija/shughuli.
|
| Blog | MediterraneoTanzania |
| Home | Vyumba | Mkahawa | Lounge | Picha | Viwango | Bookings |
Buddha dar es salaam restaurant
Mediterraneo reasturant evening dar es salaam
mediterraneo dar es salam restaurant morning
Buddha Dar Es Salaam restaurant  lounge
Mediterraneo restaurant dar es salaam
Dar Es Salaam Hotel. Mediterraneo Hotel & Restaurant. Tel: + 255 754 812567, Mobile: + 255 777 812569, Copyright Mediterraneo Tanzania. Sitemap