Tanzania Hotels. Dar es Salaam Hotels. Mediterraneo Hotel & Restaurant logo.

Dar es salaam hoteli swahili language.

Mediterraneo Hotel kiswahili.

Tanzania hoteli swahili language.

MEDITERRANEO
Hotel & Restaurant - Dar Es Salaam - Tanzania
HOTELI

Mediterraneo Hotel and Restaurant ni hoteli ya kipekee yenye mtindo wa hoteli ya mapumziko wakati wa likizo iliyopo kandokando  ya Bahari ya Hindi, Dar es Salaam,Tanzania. Ipo karibu sana na kitovu cha biashara cha Dar es Salaam, na ina bustani za kupendeza zinazoelekea Bahari ya Hindi.
Mediterraneo Hoteli ni mahali bora zaidi kwa shughuli za biashara na burudani/ mapumziko. Huduma mbalimbali zanazopatikana ni pamoja na mkahawa wa kitaliani/ Mediterania, bwawa la kuogelea, usalama saa 24, viyoyozi, huduma ya intaneti isiyotumia waya ambayo mteja anatumia bure kwenye eneo la ukumbi wa mapumziko.
|
| Blog | MediterraneoTanzania |
| Home | Vyumba | Mkahawa | Lounge | Picha | Viwango | Bookings |
Dar Es Salaam Hotel. Mediterraneo Hotel & Restaurant. Tel: + 255 754 812567, Mobile: + 255 777 812569, Copyright Mediterraneo Tanzania. Sitemap
Mediterraneo hotel dar es salaam
Mediterraneo hotel dar es salaam breakfast
Dar es salaam restaurant Mediterraneo Buddha Dar
Mediterraneo dar es salam conference
 mediterraneo hotel dar es salaam sunrise.
Mediterraneo hotel dar es salaam