Huduma tunazotoa kwa wageni wetu

Zanzibar & Safari nchini Tanzania

Mediterraneo Dar Es Salaam maelezo mafupi kuhusu Hoteli

Maelezo mafupi kuhusu Hoteli

Mediterraneo Hoteli inajulikana kwa ubora na ufanisi wake. Miongoni mwa huduma zinazotolewa, ni uwezekano wa kukuandalia safari za kitalii na za mapumziko kisiwani Zanzibar, kupitia watoa huduma bora za kitalii nchini Tanzania.

Katika ofisi ya mapokezi, unaweza kuuliza gharama za huduma zifuatazo:

-Zanzibar & Safari nchini Tanzania,
zinazoandaliwa na watoa huduma bora za kitalii
-
Safari fupi kwenye visiwa vya karibu na Dar es Salaam
-Kutembelea soko la sanaa za ndani
-Chakula cha kujihudumia mwenyewe & tafrija ya mchapalo
-Huduma za udobi
-Simu za ndani na nje kwa viwango vya Zantel kwa fedha za Tanzania, moja ya mitandao wenye viwango nafuu zaidi Tanzania (angalia viwango vya Zantel kupitia Intaneti na ujinge)

Huduma tunazotoa kwa wageni wetu
-
Vyumba vyenye viyoyozi
-Televisheni
-Bwawa la kuogelea
-Kutumia bure uwanja wa tenisi & gym kwa wateja wa hoteli
-Kuunganishwa bure kwenye intaneti isiyokuwa na waya kwenye laptop meneo ya baa na ukumbi wa kupumzikia
-Kasha salama la fedha chumbani
-Simu chumbani yenye uwezo wa kupiga nje kwa viwango vya malipo ya kabla kupitia Zantel
Mediterraneo Hotel & Restaurant logo.
MEDITERRANEO
Hotel & Restaurant - Dar Es Salaam - Tanzania
English version
| Home | Vyumba | Mkahawa | Lounge | Picha | Viwango | Bookings |
Italian version
Swedish version
Spanish version
French version
|
mediterraneo hotel giardino dar es salaam
kiswahili version
| Blog | MediterraneoTanzania |
Dar Es Salaam Hotels. Mediterraneo Hotel & Restaurant. Tel: + 255 222 618359, Mobile: + 255 754 812567,Copyright Mediterraneo Tanzania. Sitemap